Abeee
Wee dada ukifa sasa mi ntasemelea kwa nani jaman
mekumiss jamani
Hivi nan alikuteka
Na namba ya binamu Obe ulimtumia
Halafu tumepata binamu mwinfine anaitwa Behaviourist
Oohmekumiss jamani
Hivi nan alikuteka
Na namba ya binamu Obe ulimtumia
Halafu tumepata binamu mwinfine anaitwa Behaviourist
AmeenKwa ajili yako sikufi
Ai ankoo...namba nilitumiwa lakini majanga niliyokutana nayo kwenye hiyo namba hata ungekuwa mlokole ungesalimu amri. Ni namba ya mganga kutoka Nigeria
Ooooh wasije kugeuza msukule binamu...namba nilitumiwa lakini majanga niliyokutana nayo kwenye hiyo namba hata ungekuwa mlokole ungesalimu amri. Ni namba ya mganga kutoka Nigeria
Binamu Behaviourist huyu ABJ ni mdogo wngu kabisaOohsikutekwa mwee
Hahahah nilimpa kafurahijee
Ahaa kumbe kuna binamu mwingine nitambulishe basi anitambue
Ooooh wasije kugeuza msukule binamu
Nakupenda mno binamu ww unajua hlo....ndo maana nasemaga ni wewe peke yako humu ndo unanijali kwenye mambo ya msingi, sasa wangenigeuza msukule sijui ningewezaje kuingia humu