Cha ugimbi mwenyeweSafi Sana kijana, kuna ule wimbo wa muda kdg , "vijana msilale ,lale lale vijana msilale bado mapambano "
Safi Sana kijana, kuna ule wimbo wa muda kdg , "vijana msilale ,lale lale vijana msilale bado mapambano "
Sawasawa binamu yngu
Sawasawa binamu yngu
Nmeongeza idadi ya binamu
Jino limepona binamu?...basi nawe uitwe bhinamu, lakini ndo ujue ubinamu huu unakosa mambo mazuri na hata zile chura zako unazopendaga utabaki kumuona anko wangu Lyon Lee akizirukisha kichurachura, mwenzako nina mama yao humu kwa hiyo kama utaweza endelea
Rafiki nataka pia unidekeze binamu mimi kama unavyomdekeza binamu Obe!ntawapenda wote bila upendeleo
Jino limepona binamu?
....kiasi liko poa, nimelikosa tumbo nyama sababu ya upuuzi wa jino, yaani hata viazi imebidi visagwe kwanza ndo nile, ila uzuri beer haitafunwi
PoyeeeNa mimi naumwa jino!
Atakuwa muhenga huyo...wimbo wa mchakamchaka huu, inaonekana mdau nawe ni wa muda kidogo na tena umesoma shule za kuhesabu namba na kukimbia mchakamchaka
Wee dada ukifa sasa mi ntasemelea kwa nani jamanNakufa mm
Sio kukumiss huku