Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Sukari guruMtumeeeeee
Hatari sana
.......
Sukari guruMtumeeeeee
Hatari sana
.......
Eti ule ni mnazi au????
Utaishia kula na macho
Hahahaa...Sioni vizuri
Njia imefungwaNapita tu sijui kuna njia??
Mkuu kazi ya wito hiyo ifanyeMkuu tafadhali nitake radhi.
Hii kazi mimi siiwezi.
Hebu nipishe mieShikamoo
Kuna chochoro tu ila wamejaa wazushiNapita tu sijui kuna njia??
Usiwe kauzu.Thiogopi![]()
Brother hizi ndo type zangu.Utaishia kula na macho
AiseeHebu nipishe mie
Ruka kichurachura utufikieAisee nyie watu mnakimbia sana
Haya bhana. Ila
Basi itabidi kutulia tu maana hamna namna sasaNjia imefungwa
Salama kabisa kaka. Karibu.Habari ya jioni wakuu
Baki humu humu JFBasi itabidi kutulia tu maana hamna namna sasa