The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,150
Uhamiaji Wa Dodoma uharakishweJiji la Dar es Salaam linatajwa na wanasayansi kuwa, huenda likazama katika miaka 50 ijayo kutokana na kutokuwa na miinuko na kuwa karibu sana na bahari.
Tayari Tanzania imeshapoteza visiwa viwili, kimoja wilayani Pangani, Tanga na kingine Fungu la Nyani, wilayani Rufiji.View attachment 889143
Kama wamebeba kombe jana sio kwa kushangilia vile
Jana nilitaka nikupigieee tuongeee bahati mbaya mata akanikatia kifurushi na sanchez
Ndio kiukweli ubize ulinitinga kupita maelezo naona siku zinaenda hauishi bora nirudi tu kundini cha msingi nipangilie tu ratiba zangu vizur na social medias.Sweetie,
Nimekuwa nikimuuliza Makaveli ulipo,huwa anasema 'atakuja hivi karibuni..'
Karibu tena...
Hahahahahahah kwa taarifa inayofuata mnapigwaaMtuache ligi ndio imeanza wafalme wamerudi
Hahahahahahah kwa taarifa inayofuata mnapigwaa
Kapata wakili mzuri tu, huku Tz angeangalia Miaka isiyopungua 30 au kifo tu ashukuru hata hiyo miaka 15.Laquan McDonald: Afisa wa polisi mzungu Jason Van Dyke aliyemfyatulia risasi 16 kijana mweusi mwenye umri wa miaka 17, Laquan McDonald amepatwa na hatia ya mauaji ya kinyama.
Mauaji hayo yaliyofanyika Chicago Marekani mwaka wa 2014 yalisababisha machafuko na mabadiliko katika idara ya polisi na haki. Anakabiliwa na kati ya miaka 6-15 gerezaniView attachment 889138
Welcome BackNdio kiukweli ubize ulinitinga kupita maelezo naona siku zinaenda hauishi bora nirudi tu kundini cha msingi nipangilie tu ratiba zangu vizur na social medias.
Hahaha kweli
Yaani ni kweli kabisaHahaha kweli
Hatupigwi tena endeleeni kuibetia man u ikifungwa mliwe
Ila U Lesbian ni nafuu kuliko lidume kwa lidume....kusema ukweli.
Ya kweli haya?
Yani hii ni kweli kabisaaaaaaa
Duuh mbona Camera za kihenga hivyo!
Si alimsaliti Yesu wacha afe tu
Ndo mimi hapa Kitabu upo best? Missing you sanaaNimemuona Sweetiepie au macho yangu?