Alipo Ronaldo nipo mmRais wa Real Madrid Florentino Perez anaamini mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo, 33, siku moja atarudi katika klabu hiyo. Ronaldo alijiunga na Juventus mwezi Julai baada ya miaka tisa huko Bernabeu. (ESPN)
10%He he
Ukiokota usisahau kunipa
West Ham wako kwenye hatari ya kumpoteza mlinzi wa miaka 19 raia wa Ireland Declan Rice baada ya kukataa nyongeza ya mshahara wa pauni 12,000 kwa wiki. (Mail)
Muwe na Siku Njema
Eiish asilimia kumi kunipa acha hizo
Pm sijui.kwani ni mahela mengi ni hela ya vocha tuEbu njo pm basi jamani mambo yanabana mpaka nashindwa kuingia jf
Hizo mahela zinanitamanisha kwa avatar ninavyopenda mahela mm
NashukuruAsante sana The Book
Pm sijui.kwani ni mahela mengi ni hela ya vocha tu
mpaka kwenye vitu vya kuokota mnataka twende fifty-fifty??Eiish asilimia kumi kunipa acha hizo
mpaka kwenye vitu vya kuokota mnataka twende fifty-fifty??
wanawake mmenishinda tabia equal shares kila mahali 😎
Pm sijui.kwani ni mahela mengi ni hela ya vocha tu