Ninachohisi mm mtu anavyomfikilia mwenzie tofauti na alivyomuona
Kama hapa baby daddy unajua shunie yupo vile ulivyomuunda ww
kumbe mshamba flani hivi
Au baby daddy najua we mkaka flani hivi kumbe kukujua upo sawa na mdogo wangu wa mwisho
kuna nn hapo zaidi ya kupishana