Makapuku Forum


...mara ya mwisho kulala masaa 7 sikumbuki. Mimi ni mtu wa masaa 4-5 yakijumuisha na lile zoezi la walala uchi.

hapo kwenye game sasa, ninacheza sana Candy crush, kama ABJ anapenda anitumie namba ya simu nimuinvite

Makala nzuri asante
 
Numbisa asante kwa makala nzuri na nzitonzito lakini unajua kuwa leo ni Furahiday? maana unaweka makala nzuri bandika bandua na wengine kama anko wangu Lyon Lee mzee nyumba nyingi hapendi saa hizi kavinjari sehemu alinipita hapa kwenye shoo matata sana.
Hebu tuhurumie basi, au wewe hujasika dini?
 
Hivi siku hizi huweki music
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…