Makapuku Forum

Mrs info in the house
Uliuona huu ujumbe lakini Shunie ?

Tumsaidie mwenzetu jamani
 
Kiongozi hili zoezi nimelitekeleza kwa ufanisi,na Nina tegemea wiki ijayo kutekeleza tena ,tukumbushane zaidi na tumuombee mwenzetu
Ubarikiwe sana mkuu
Binafsi week hii nipo hoi mifukoni natafuta hata pakukopa ili nami nimsaidie
Kwa muda huu nasaidia kuhimiza team nzima ya Makapuku imsaidie huyo mwenzetu
 
Ubarikiwe sana mkuu
Binafsi week hii nipo hoi mifukoninatafuta hata pakukopa ili nami nimsaidie
Kwa muda huu nasaidia kuhimiza team nzima ya Makapuku imsaidie huyo mwenzetu
Usijari Mkuu utafanikiwa na utatekeleza ,mm nilikua mbali mno lkn ujumbe wako na mkuu mwingine ulinigusa,ikabidi nipige simu Dar kwa MTU afanye hivi ilivyofanyika

Binafsi nakuombea utimize lengo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…