Miamala hata kama sipo jf si inaingia
Kipindi kile jf imefungiwa tumeahamia KT kwa wakenya nikasema no yako sina nikakumbuka nikupe taarifa nitakupaje imebidi niingie insta nimtumie text pacha wako nikamsalimia nikamwambia akwambie
nikachuniwa nikasema huruma yangu masikini imeniponza shunie mm najuta basi angejibu tu hata sawa nikamwambia nikasema nimekoma tena nilituma na link masikini