Watu wa kanda ile bana, yani mkishavuna au vua tunapata tabu sanaaa!!.. Haka katoto kanataka za kuringishia wenzie na mie nishakaambia za mboga nakapa sio za show off!.
Niliibiwa njiani, hata sijui kivipi.🙂Kumbe mnadani anko alipata
Niliibiwa njiani, hata sijui kivipi.🙂
Hahahaha,Hahhaha kweli anko muulize huyo msukuma
Anhaa huyo hapo kwenye Avatar ndiyo yeye ???Acha tu!.. Natumiwa wigi na mgongo size hiyo aty!.
Lakini umeniblock status na DP halafu picha zako utata mbona huyasemi haya!..Nini picha anko mpaka no anayo Niko naye whatsapp
Yaani anko tumosa sio mzurulaji masikini akitoka entertainment anarudi makapuku na akiona watu hamna atatoka kuwatafuta majukwaa yote
Napenda unavyokuwaga mdogo ukibanwa!..Hukosagi visingizio
Hahahahhahaa,Watu wa kanda ile bana, yani mkishavuna au vua tunapata tabu sanaaa!!.. Haka katoto kanataka za kuringishia wenzie na mie nishakaambia za mboga nakapa sio za show off!.
Hapana haki sawa tuiache getini bee!..Na ulipo wewe nipo nyuma yako
Hahahaha,
Huyu msukuma hawezi kutoa taarifa nyeti kama hizo.
Tena ambazo ni siri za kambiiiii, hata nikimuuliza atakataa tu!
Anhaa huyo hapo kwenye Avatar ndiyo yeye ???
Lakini umeniblock status na DP halafu picha zako utata mbona huyasemi haya!..
Kweli jamani tumosa hajui kuzurula kabisa
Vile vigauni alivyonunua Ray ukataka ulipize sio kuringishia kule!?..Babe jamani naanzanje kuringishia nimekuwa mtoto
Mbali na ubahili wa pesa, pia ni mbahili kutoa taarifa kama hizi....Hahhaha safi sana nazidi kumpenda mm wick wangu mwanaume unatakiwa uwe hivyo
Hahahahhahaa,
Umenikumbusha mbali sanaaaa!
Hapana haki sawa tuiache getini bee!..