Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,249
ahsante sana kwa takwimu...ama kweli makapuku tumekamilika kila idara.Kihisabati Kapuku Mussolin anaongoza mbaya kabisa:
Lara1 ana 25% ya likes katika comments zake,
wakati kapuku Mussolin ana 88% ya likes kwenye comments zake.
Hii ni kumaanisha lara1 itamlazimu kupost messages 4 ili kupata like moja, wakati Mussolin katika kila post 1.1 ana uhakika wa kupata like
Hii inawezekana kwa kapuku pekee, hata Mshana jr na kuongoza kwake kwa likes hana hii ratio
Big up kapukuz
Achana na story za huyo mchawiPengine hatujaelewana ila namaanisha Nje ya makapuku kuna mtu anamzid mshana likes!? Hata kama yupo ni kidogo. Wala simaanishi statistics za mwaka wa jf uliopita, pole.
NB: Makapuku hawashindani wao kwa wo ndo maana nimeona haina wokovu kulinganisha ratio za kapuku kwa kapuku thats't.
Le LodilofazzzzzzSura kama anakata gogo
Asante mkuu, umoja ni nguvu.Hongera umepiga mtu
Ckakoseateh teh teh...umekosa
MmmmhAchana na story za huyo mchawi
Sisi tunafanya yetu kwa vitendo tu
..............
Hahahaa...Sura kama anakata gogo
Mimi nafuga kitimoto tuCkakosea
Pamoja sana kaka.sawa mkuu ngoja niongeze spidi iwe 360
Na kwako pia mkuu, japo umemuacha shem peke yake hapaUsiku mwema my family.
Be blessed.
Na kwako pia kaka. Ulale salama.Usiku mwema my family.
Be blessed.
Sasa tumtajetaje ili iweje?Mmmmh
Asante sana. Shemeji yako namwambia nae aje kulalaNa kwako pia mkuu, japo umemuacha shem peke yake hapa
Thanks brazaNa kwako pia kaka. Ulale salama.
Hamna mbaya mkuu, hata nuru ili ionekana inahitaji giza liwepo, kwahyo waache wachaw wajitokeze ili wakikalishwa tuchukue marksAchana na story za huyo mchawi
Sisi tunafanya yetu kwa vitendo tu
..............
Sina neno. Mimi ngoja nilaleSasa tumtajetaje ili iweje?
Na hatuna shida ya thread "Fulani anaongoza"
Sisi tunaua kimyakimya...wakija kushtuka tushafika Chalinze
.............
My love njoo tulale