Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kihisabati Kapuku Mussolin anaongoza mbaya kabisa:
Lara1 ana 25% ya likes katika comments zake,
wakati kapuku Mussolin ana 88% ya likes kwenye comments zake.
Hii ni kumaanisha lara1 itamlazimu kupost messages 4 ili kupata like moja, wakati Mussolin katika kila post 1.1 ana uhakika wa kupata like
Hii inawezekana kwa kapuku pekee, hata Mshana jr na kuongoza kwake kwa likes hana hii ratio
Big up kapukuz
ahsante sana kwa takwimu...ama kweli makapuku tumekamilika kila idara.
 
Pengine hatujaelewana ila namaanisha Nje ya makapuku kuna mtu anamzid mshana likes!? Hata kama yupo ni kidogo. Wala simaanishi statistics za mwaka wa jf uliopita, pole.
NB: Makapuku hawashindani wao kwa wo ndo maana nimeona haina wokovu kulinganisha ratio za kapuku kwa kapuku thats't.
Achana na story za huyo mchawi
Sisi tunafanya yetu kwa vitendo tu
..............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom