EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hahahaaa...
Hahahaaa...
Sasa hongera vipi wakati unatakiwa uniambie ile picha iko kwenye mtandao gani ili niwafungulie kesi kwasababu wametumia bila idhini sasa ile pesa ntakayolipwa kama fidia ndio itakayorudisha heshima mjiniDuh! Hongera sana.
Mchawi tulishamchinja kitambo mbonaKihisabati Kapuku Mussolin anaongoza mbaya kabisa:
Lara1 ana 25% ya likes katika comments zake,
wakati kapuku Mussolin ana 88% ya likes kwenye comments zake.
Hii ni kumaanisha lara1 itamlazimu kupost messages 4 ili kupata like moja, wakati Mussolin katika kila post 1.1 ana uhakika wa kupata like
Hii inawezekana kwa kapuku pekee, hata Mshana jr na kuongoza kwake kwa likes hana hii ratio
Big up kapukuz
Wamekimbiaa.View attachment 346756
Hapo vipi?
Mkuu mbona mshana wala haongozi kwa likes?? Au we unatumia hesabu za mwaka gani? Makapuku ndio habari ya mjini kwa sasaKihisabati Kapuku Mussolin anaongoza mbaya kabisa:
Lara1 ana 25% ya likes katika comments zake,
wakati kapuku Mussolin ana 88% ya likes kwenye comments zake.
Hii ni kumaanisha lara1 itamlazimu kupost messages 4 ili kupata like moja, wakati Mussolin katika kila post 1.1 ana uhakika wa kupata like
Hii inawezekana kwa kapuku pekee, hata Mshana jr na kuongoza kwake kwa likes hana hii ratio
Big up kapukuz
Ni kweli kabisa.Kihisabati Kapuku Mussolin anaongoza mbaya kabisa:
Lara1 ana 25% ya likes katika comments zake,
wakati kapuku Mussolin ana 88% ya likes kwenye comments zake.
Hii ni kumaanisha lara1 itamlazimu kupost messages 4 ili kupata like moja, wakati Mussolin katika kila post 1.1 ana uhakika wa kupata like
Hii inawezekana kwa kapuku pekee, hata Mshana jr na kuongoza kwake kwa likes hana hii ratio
Big up kapukuz
Hivi mshana ni kapuku!??Mkuu mbona mshana wala haongozi kwa likes?? Au we unatumia hesabu za mwaka gani? Makapuku ndio habari ya mjini kwa sasa
TaratibuMkuu mbona mshana wala haongozi kwa likes?? Au we unatumia hesabu za mwaka gani? Makapuku ndio habari ya mjini kwa sasa
Sura kama anakata gogo![]()
Mwili mkubwa halafu ananyanyua pini tu
![]()
![]()
![]()
![]()
...........
Mkuu bado 11 tu mange akaeNgoja niongeze supidi
Mpaka tumeshasahau kama aliwahi kuongozaMchawi tulishamchinja kitambo mbona
![]()
![]()
![]()
![]()
................
Unahitaji likes 11 tu kielewekeNgoja niongeze supidi
Pengine hatujaelewana ila namaanisha Nje ya makapuku kuna mtu anamzid mshana likes!? Hata kama yupo ni kidogo. Wala simaanishi statistics za mwaka wa jf uliopita, pole.Taratibu
Mwenzio kakariri ile thread
Kauka![]()
...........
sawa mkuu ngoja niongeze spidi iwe 360Jitahidi kijana.
Hongera umepiga mtusaw
sawa mkuu ngoja niongeze spidi iwe 360
teh teh teh...umekosaAlikuwa wa musolin5
Toto la kwetu hatujatiana machoni leo![]()
![]()
![]()
![]()
aiseee