Makapuku Forum

Pichani ni Albert Einstein (kulia) akiwa na Georges Lemaitre ambaye alikuwa ni padre, mwanafalaki, na profesa wa fizikia kutoka Ubelgiji, ambaye yeye ndiye alikuwa mwanasayansi wa kwanza kugundua kwamba ulimwengu haukuumbwa bali ni matokeo ya mlipuko mkubwa uliotokea miaka bilioni 13 iliyopita na kwa sasa bado ulimwengu unaendelea kutanuka huku ukiwa unapoa.

Jambo ambalo linawashangaza wengi ni kwamba padre kuja na ugunduzi kama huo ambao unapinga kwamba ulimwengu uliumbwa.
 
Padre kiboko
 
Sayari kijeba Pluto inatarajiwa kukamilisha mzunguko wake kwenye Jua jumatatu ya tarehe 23/03/2178 tangu kugunduliwa kwake mwaka 1930.

Pluto iliondolewa sifa ya kuwa sayari kwa sababu ni ndogo sana, pia haina tofauti na baadhi ya mawe yanayoizunguka hivyo kwa sasa inafahamika kama dwarf planet au sayari ambazo hazieleweki.
 
Reactions: Lee

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…