makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,015
- 104,609
Wangese hawa.Idara ya Maafa imesema hakuna tishio la tsunami katika Bahari ya Hindi na kwamba taarifa inayosambazwa si ya kweli.
Mkurugenzi wa idara hiyo amesema, taarifa za tsunami zinapotolewa wananchi hawachukulii uzito, hivyo leo walilenga kuangalia wananchi watalichukuliaje tishio hilo.View attachment 858921
Hii ndio bongo, mambo kiduwanzi duwanzi tuuAmbao pressure zilipanda na kulazwa hospitali je??
Mie najua hayo, nasiiachi ng'ooo.
Atakaeweza kuizamisha kwa mwenzie ndio dume huyo.
Naona leo umeamua kutembelea fahamu zaidi shunie akee..
Ongezea na huyu @andrewsoft yuko poa japo mvivu.
Angalia usije angusha gari, vijana hawana maana.. Kuja kuamka asubuhi watu wamevunja mayai km trei tatu vile.
HahahaaAngalia usije angusha gari, vijana hawana maana.. Kuja kuamka asubuhi watu wamevunja mayai km trei tatu vile.
Wapi huko jamani THilo neno aiseee..
Nawaza mbali sana.
Kitandani na mama watoto wangu.Wapi huko jamani T
Mambo ya Hogo...Woyoooooooooooooo