Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Asante
Asante
Hiyo boha inakuwa kama togwa?Mweeeh itabidi niokoke tu ninge ila nikiendaga tanga kwetu nakunywaga pombe yetu ya miwa inaitwa boha nakunywaga kidogo tu huwezi juwa naweza kuonja onja na hizo nikaweza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu hawez hata kidogo atuachie wenye vijiji vyetu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia hilo jina tu la hyo pombe anahairisha na kuja kijijinNa mataputapu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hurumia mbavu zangu
Ndiwooooo
Ndio shunie,,,huko daslamu si mnabania mayai bhna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuaminia si ulizaliwa benk eeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama utaweza kweli sema Wallah..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nitaweza jamani mbona mnanikatisha tamaa hivyo
Ukipotea tutakufa mbona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia hilo jina tu la hyo pombe anahairisha na kuja kijijin
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli jamani eti leo ananiletea habari zake nitakuita kiinglish aunt kwa nini toka mwanzo usiniite kiinglish sitaki mm
Ana utani na wwKweli mm shunie nimekuwa shangazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza maneno yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huku tunalia chips
Ninge mm togwa sijui taste yake sababu siipendi tu jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia hilo jina tu la hyo pombe anahairisha na kuja kijijin
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama utaweza kweli sema Wallah..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana utani na ww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chips zege
Aah kumbe,, itakuwa ipo vzr bhasiNinge mm togwa sijui taste yake sababu siipendi tu jamani
Boha ni hii hapo kwenye mashine inatengenezwa ndio miwa inakamauliwa halafu inalazwa kuwa pombe wanajuwa wenyewe wanavyotengeneza
View attachment 851803View attachment 851804