Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mweeeh itabidi niokoke tu ninge ila nikiendaga tanga kwetu nakunywaga pombe yetu ya miwa inaitwa boha nakunywaga kidogo tu huwezi juwa naweza kuonja onja na hizo nikaweza
[emoji23][emoji23][emoji23]Tatzo linakuja huku kijijin utaweza kweli?? Huku hakuna heniekin zako zile kuna ulanzi,, togwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom