Ulimpata huyo manzii au ulikesha mwenyewe?Namtafuta manzii wa kukesha nae hapa
Swty nipigie
Nambie mamii
nimesahauSafi kabisa
Chekaa mam
Nmekumis ata kama ulipata mchepuko
Hapana ila kuna Mmoja alichana desa pale Mdegree!...Ujue hapa MF unapata maarifa na burudani za msingi kila wakati, maisha hapa hatuyafanyi kuwa magumu kama majukwa mengine ambako kila ukitembelea unakuwa roho mkononi.
Vipi wale ngedere wa UDSM masharobaro hawakuwahi kuingilia selfie yako. Article ilikuwa poa sana
Wewe bint utaniua wallah! Nambata ushungu Mimi!Nakojoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.![]()
Uko poa mkuu