Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,433
- 38,402
Sijambo Mpendwa! Mungu ni mwema sana!Nilimsahau jamani hivi anaendeleaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijambo Mpendwa! Mungu ni mwema sana!Nilimsahau jamani hivi anaendeleaje
Nimeipokea kwa unyenyekevu kama yangu kama zoteWouzeeer wouzeeeer
Mimi sihusikiKwenda uko si kwa kuniita shangazi haujaona majina mengine
Kabisa yaani! Labda zile KoroshoHata kwenye maombi utakuwa umemsahau
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka uwiih,we unajuaje mi sijakumis,kwanza sijakumis tangu uniletee habari zako za magimbi sijui mihogo mfyuuWewe kunimis ndo ishakuwa baba mkwe??
Ok
Hahahahahaha jaman najua umeumis mhogo ila usjaliii[emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka uwiih,we unajuaje mi sijakumis,kwanza sijakumis tangu uniletee habari zako za magimbi sijui mihogo mfyuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry kama nilikukeraa ...was jokes[emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka uwiih,we unajuaje mi sijakumis,kwanza sijakumis tangu uniletee habari zako za magimbi sijui mihogo mfyuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupendaa ujue
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] nikis kabla wambea hajatia timu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kina nani haooo jamani[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] nikis kabla wambea hajatia timu
Wanajijuaa utawaonaa
Ndo unipe makopaaa....
Hahahaha mi nasubiri hao wambea waje ndo waone vizuri sasaNdo unipe makopaaa....
Tupo nafasi ya tatu mkuu,,, wazee wa uturuki singeli wapo nafasi ya 12Timu yangu Yanga inaendeleaje?