ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Salama hajambo shemeji
Marhaba Tumosa,, habari za weekend? nmeanza kunenepa aiseeShikamooo kaka ninge
Okay
Hahaha bhasi sawa ABJ,,,
Hayaa,hahahaha umeona ee tuna pata tabu sisi wa mikoani,atakuja kwa mbwembweHahaha bhasi sawa ABJ,,,
Naona leo mtt wa daslamu Shunie anakula bata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kabsa,,, atakuja na kelele nyingi sana mara moto mara nn.Hayaa,hahahaha umeona ee tuna pata tabu sisi wa mikoani,atakuja kwa mbwembwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ndogo sana hii ngoja niagize hizo nguo nivalishe mbuzi banda zima
HujamboNambie mdada
MuoneeeMarahaba😛