Ila nahisi hakuna haja ya kumbembeleza aje huku.
Kuna kitu hakupenda ndio maana ameleft...akiona kuna sababu ya kurudi atarudi tuu..
Tuheshimu mawazo yake.
Sio tu kushtuka mm kama mm! Na kuna kiungo pia kina shtuka pasi na utaratibu!Sasa mbona ukisikia kukojoa unashtuka
Naona unamchokonoa...!Baba wawili wa kuchora
Hahahaa..! Basi ngoja nipigie mstari...Heineken ilivyo tamu mwenyewe sijiombei kuacha ebu tuendelee kujinywea bana
Dah mm nimealika watu,ila nyie mmmh ,hayaHeineken ilivyo tamu mwenyewe sijiombei kuacha ebu tuendelee kujinywea bana
Sio tu kushtuka mm kama mm! Na kuna kiungo pia kina shtuka pasi na utaratibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikosa huku! Unapata kule!View attachment 846101View attachment 846102
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unamchokonoa...!
Mimi najiweka pembeni ..! Sitaki vurugu ujue..
Hayo ndio maneno THahahaa..! Basi ngoja nipigie mstari...
...Ujue hapa MF unapata maarifa na burudani za msingi kila wakati, maisha hapa hatuyafanyi kuwa magumu kama majukwa mengine ambako kila ukitembelea unakuwa roho mkononi.
Vipi wale ngedere wa UDSM masharobaro hawakuwahi kuingilia selfie yako. Article ilikuwa poa sana
Nakojoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Dah mm nimealika watu,ila nyie mmmh ,haya
101-03-821.M|T|C
...usisahau kuweka kitambaa kinyonye mikojo isiturukierukie ikatuharibia udhu
Nakazia binamu
..kazia tu aunt yangu ninayekupenda na unajua hilo. mmh, lakini kukazia peke yako si sawa sawa na kufanya masta... oh, hii bia inatoa jasho la ubaridi inanipa mawazo kama imeiva