Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Wewe niombee tuu mama D..Sawa T tuendelee na habari zetu
Nahitaji maombi sana.
Wewe niombee tuu mama D..Sawa T tuendelee na habari zetu
Jf haji tena..alishaniambia kabisa.
Yeah..she can get back to say hello to fellas...Hata mm najua ipo siku tu nitamrudisha ata siku moja
Nikuombee tena una nn jamaniWewe niombee tuu mama D..
Nahitaji maombi sana.
Yeah..she can get back to say hello to fellas...
Khaaa
Mfungo asubuhi mpaka jioni kama kunisaidia kuanzia usiku kuendelea mpaka kesho jioni
me nmefunga togwa ya mtu chakeUsafiri salama ndgu@Tumosa Ahsante sana. Sijambo na sasa nimo njiani narudi nyumbani CHALINZE
Sent using Jamii Forums mobile app
Niache heinekenNikuombee tena una nn jamani
Akuuuu mie nmetosheka na baba wawiliEeeh! Naona na wewe unataka Halua..![]()
Ila nahisi hakuna haja ya kumbembeleza aje huku.Ndio akubali sasa
Msalimie sanaHahaha! So hutaki utamu?
Nilimuona yuko bize huko KT..
SAFI SANA MKUUFuurahiday njema wadau wa jukwaa hili adhimu. Niko poa na upande wangu hakuna jipya lada tu niwaulize nyie kama kuna Jipya.
Slim5 usishangae aunt yangu kunitag nisome Je Wajua na News za Kusisimua Nyingine, sababu moja kubwa ni kuwa huwa nakuwa wa mwisho kuelewa so anajitahidi nisibaki nyuma sana, niende sawa na Makapuku wengine.
Shunie niseme mara ngapi asante kwa Je Wajua na mabandiko mengine ya kuburudisha na kuelimisha, sikujua sababu ya huyu mchoma viumbua kila siku kung'ang'ania kulala karibu na kwapa langu akijua kabisa mambo ya deodorant kwangu si ya msingi na kibaridi hiki kuoga ni lazima nijipange. Asante na asante zaidi.
Pouwa.Msalimie sana
NdiwoooooBaba wawili eeeh?
![]()
Niache heineken