Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926






wewe mgonjwa umeshapona






wewe mgonjwa umeshaponaHahahaha sababu hyo ndio inapelekea kutuonesha mgongo ??Mh ujikute tu ujianike jf mpaka sura mm nakataa
Sijui aisee! Manake enzi hizo lile jukwaa pendwa alikuwa anapenda mambo ya maji maji..Hivi yuko wapi


Hahahaaa! Unanicheka wewe mama D..! Hilo neno balaaaa...Nakojoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Njoo!Wouzeeerrr wouzeeeer acha nikuje T






Hapa mgongo mwisho ninge sijapiga bado picha za mgongo niwabadilishie
Sijui aisee! Manake enzi hizo lile jukwaa pendwa alikuwa anapenda mambo ya maji maji..![]()
Njoo!
Kwanini ufe na utamu wako ? Get screwed...! Get wet ! Enjoy life![]()
Hahaha! So hutaki utamu?T jamani halafu ww shemeji yangu ujue kwa dada angu
Hahahaha nangoja ugeuke shunieHapa mgongo mwisho ninge sijapiga bado picha za mgongo niwabadilishie
Nimeacha mama D..Umeanza na habari za jukwaa la wakubwa T


Hahaha! So hutaki utamu?
Nilimuona yuko bize huko KT..








binamu nimecheka mm na mchoma vitumbu wako Mungu azidi kukuweka tu binamu yangu nakupenda mm 

Fuurahiday njema wadau wa jukwaa hili adhimu. Niko poa na upande wangu hakuna jipya lada tu niwaulize nyie kama kuna Jipya.
Slim5 usishangae aunt yangu kunitag nisome Je Wajua na News za Kusisimua Nyingine, sababu moja kubwa ni kuwa huwa nakuwa wa mwisho kuelewa so anajitahidi nisibaki nyuma sana, niende sawa na Makapuku wengine.
Shunie niseme mara ngapi asante kwa Je Wajua na mabandiko mengine ya kuburudisha na kuelimisha, sikujua sababu ya huyu mchoma viumbua kila siku kung'ang'ania kulala karibu na kwapa langu akijua kabisa mambo ya deodorant kwangu si ya msingi na kibaridi hiki kuoga ni lazima nijipange. Asante na asante zaidi.





Hiyo ninge haiwezekani hata Yesu arudi kama mmechoka migongo nitawawekea avatar za watu tu
Yeah..hizo post zake week mbili zimepitaMh mbona ameniambia hajaingia mda kt
Nimeacha mama D..
My apology please..![]()
Oooh kwahiyo amejiachia tu uko leo nimempigia kelele aje mara moja tu uku jf naona kanigomeaYeah..hizo post zake week mbili zimepita
Sio za leo.
Jf haji tena..alishaniambia kabisa.Oooh kwahiyo amejiachia tu uko leo nimempigia kelele aje mara moja tu uku jf naona kanigomea