Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,433
- 38,402
Huyo ni mimi hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kwa avatar ninge ni nani
Hahaha aya sawa[emoji120] [emoji120] [emoji120] nashukuru mkuu leo namsaidia shunie mfungo
Hahahaha wewe unafungua ikifika weekend eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ninge sasa hivi nimeshafungulia
Ubarikiwe sana shunieHapana ninge jamani nimeanza leo mpaka alhamisi ijayo
Duniani si wawili wawili shunie,au umesahau hilo hahahMbona hiyo picha sio ngeni sijui ya mtu gani maarufu
Eeeh! Naona na wewe unataka Halua..[emoji41]Biashara matangazo eeeh
Kama bomba la maji likibinywa pale pa kutokea maji..[emoji41][emoji41].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo nitamwaga mimaji eenh T
Ameen ninge tubarikiwe sote [emoji120]
Nilijua tu![emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti ulivyoshtuka woiiiiiii
Mh ujikute tu ujianike jf mpaka sura mm nakataa
Eeeh! Naona na wewe unataka Halua..[emoji41]
Kama bomba la maji likibinywa pale pa kutokea maji..[emoji41][emoji41].