Makapuku Forum

 
Kofi Annan, aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amefariki dunia nchini Uswisi akiwa na umri wa miaka 80.

Annan mwanadiplomasia kutoka Ghana alishika wadhifa huo kati ya mwaka 1997 na 2006. Alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda.


 
Ndani ya Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza hali ilivyo ikiwa ni saa chache kabla ya kipute cha NgaoYaJamii2018 kati ya SimbaVsMtibwa .
Shughuli inaanza saa 10:00 jioni




 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…