Makapuku Forum

[emoji524]AYUBU 11:

19.Tena utalala hakuna atakayekutia hofu,,Naam wengi watautafuta uso wako

MUNGU AWABARIKI FAMILIA ,DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE USIKU MWEMA MALAIKA WALINZI WAWAZINGIRE[emoji257][emoji257][emoji257] NAWAPENDA [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe si muhuni mfyuuuuu
[emoji3] [emoji3] acha kunisingizia , wewe ndio umeleta hiyo je wajua tena kama haitoshi ukaweka picha kbs [emoji1] [emoji1] kati ya mimi na wewe muhuni nani hapo

Na binadamu tungekuwa na uwezo kama wa kitimoto wanawake mngenenepaaaje!
maprotini hadi mngebaki mmelewa aki vile[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kama tunavokupenda wewe aki
 
Mm kazi yangu ni kuwajuza tu msiyoyajua yaani nawaza tu hapo mngekuwa na uwezo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…