Asante mama D wa watu.Miongoni mwa watu mashuhuri wanaotumia au waliotumia mkono wa kushoto:
Rais wa zamani wa Marekani Barack ObamaRais wa Kenya Uhuru KenyattaWaziri Mkuu wa Israel Benjamin NetanyahuMwanamfalme William wa UingerezaMsanii Angelina JolieMwanasayansi Albert EinsteinMwigizaji Tom CruiseMwanamuziki David BowieMwanariadha Paula RadcliffeMwanakandanda PeleMwanaanga za juu Neil ArmstrongMwanasayansi Marie CurieBondia Manny PacquiaoMwanaviwanda Henry FordMwanamuziki Justin BieberMwanamuziki Lady GagaMwanamuziki Marshall Bruce Mathers III maarufu kama EminemMwanamuziki Paul McCartneyMwigizaji Jennifer LawrenceMwanafalsafa AristotleMvumbuzi na mchoraji Leonardo Da Vinci
View attachment 834662View attachment 834663
Aisee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja sasa nikwambie ukitaka nilewe sana yaan sana ni heineken 8 hiviii nikilewa wastani heineken 4 au 5
Nilikunywa heineken 9 jamani ndio beer nyingi nilizokunywa toka nianze kulewa yaan sitaisahau hiyo siku nilirudi nyumbani alfajiri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa shunie
...umechelewa sana leo mama JJ, nimeipokea salamu yako kwa utulivu sana. Uko poa lakini
....utaitupia wapi nije niiokote maana kuna mtu nimemuahidi simu, sitaki kuingia gharama za simu mpya. Ukiitupa usisahau kutupa na chaja kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akitupa hyo simu uniambie
Wazimaa!
Hamujambooooooooo
Nauliza hamujamboooooooo
Asante mama D wa watu.
Aisee..
Yule wakala mi ntamkabidhi kwa kenge amnyoosheUrudi tu uko makumbusho hakuna hela iliyofika
Huo UBINAFSI sasa!Acha kabisa halafu sasa ajipendekeze mwanaume kutaka kunibambia yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] povu atakalokutana nalo atajuta
Siku nikikukuta club ntakununulia mpk ulewe....nione....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo mm sio mlevi usiombe sasa tuwe club nimelewa nachezaje jamani shunie mm
Huo UBINAFSI sasa!
Ulivoanza Jamani Mimi Tigo...... Nilishtuka sana.... Nilivomaliza kusoma mshtuko umeniisha!
Achana na kunikuta club ninunulie hata sasa hivi tuma mahela nitakutumia video na mapichaSiku nikikukuta club ntakununulia mpk ulewe....nione....
Nilianza safari ya kurudi! Kufika pale CHAMAKWEZA nikapata puncture tairi ya mbele ya baiskeli yangu..... Now ndio naingia Kibaha!Muziki: Kidogo Kingi
...tunatofautiana tunavyoangalia mambo au masuala, wengine hata wikend unakuta wanakuwa serious kama Jumatatu, hawapendi kuchukulia baadhi ya mambo kwa urahisi (taking it easy) na hata salamu inakuwa ngumu lakii kwangu mimi kama mnavyonijua lazima nikusalimie bila kujali una khali gani. Kikubwa kwangu kinaweza kuwa kidogo kwako na ndiyo maana sichoki kukusalimia wewe Kapuku unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Asante sana Shunie kwa mabandiko yako mazuri, najua hujaweza kupata simu nzuri ili uwe unanitag (niko kwenye mchakato na mama yenu ninunue simu moja kubwa iwe inatumiwa na kila mtu, subirini maswali yaje nikiileta). Nimefurahi kukuona hapa ningendako asante kwa kuwa active leo, Slim5 umeshatoka Chalinze, mtu chake khabari za DRC, ABJ za kupotea, moneytalk umepotea, Andunje Jiniazi 😎, Herymiller kutaja wachache.
Muziki sasa, tujikumbushe zamani kidogo maana Jumatatu inahitajigi nguvu ya ziada kuimaliza