Makapuku Forum

[emoji524]TUOMBE:Baba Asante kutuamsha salama tukiwa wazima leo Alhamisi tarehe 10 Agosti 2018.Tunaomba Toba tusamehe..Tunajikabidhi mikononi mwako endelea kutupigania Mfalme wa Amani.Tuponye,Tubariki,Tuhuishe.

Tunajikabidhi sisi na kila tunalopitia Baba mikononi mwako..wafariji wafiwa wote wape mahitaji na tumaini wajane,wagane ,yatima watie nguvu waliipondeka mioyo.

Damu Takatifu ya Yesu Kristo inene mema makazini,safarini,katika masomo,kwa watoto na wahitaji wote wakutafute wewe .Hesabu hatua zetu Roho Mtakatifu kaa nasi.Ni katika jina la Yesu Kristo naomba na kuamini Amen

ALHAMISI NJEMA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE [emoji257][emoji257][emoji257]
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Amini
 
Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]moto wa makapuku hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…