ShikamoooMkuu shunie hujapigwa ban
Hahaha, kwanini anapigwaga mabani?Mkuu shunie hujapigwa ban
MamboShikamooo
Mfyuu shika mwenyeweShikamooooo
MmhNdiwooooo
Niacheni huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wewe siulifichwa na......Bday gal tunataka cake
Mizigo ya wakubwa hiiUmekuwa kanafki sasa hivi wewe mtoto
Atakuwa alimtolea nje mpiga ban mmojaHahaha, kwanini anapigwaga mabani?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mizigo ya wakubwa hii
Na mm ntakua one dai
Mtt Id na Avatar kali[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]...kwa makapuku woteView attachment 828102
Shikamoo binamuNatumaini wengi wetu tulikuwa na wikend nzuri. Tunalianza juma jipya kabisa na ninakuandikia wewe Kapuku kukutakia jumatatu na wiki njema.
Kama kuna jipya basi tujulishane baadaye. Usiponiambia nitauliza tena.
Shikamoo binamu
Nakutakia kazi njema