moudgulf asante mdau kwa utalii wa picha.
Tumosa neno limependeza
Nawasalimia wadau wote na niseme tu nawafurahia sana.
Kuna jipya?
BTW, kutokana na sababu zilzo ndani ya uwezo wangu sitaweza kuweka muziki na tafasiri unavyoweza, najiandaa kuita waandishi wa habari nitangaze jambo kubwa. Tega sikio na kama huna sikio tega jicho