Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Ni mzuri sanaHabari zenu makapuku wenzangu
Ni mzuri sanaHabari zenu makapuku wenzangu
Ni njemaNjema, za kwako
Shikamooo binamuAnko natests mitambo View attachment 819966
Shikamooo binamu
Nawahi kukusalimia kabla hujasombwa na mafuriko ya weekend
Hii kitu ina nguvu ya Simba kama Safari?Full High Day ,nalianzisha dude mapemaaa pande hz View attachment 820142
Sijambo pole na majukumu...ha hahaha, binamu umejuaje kuwa mafuriko yatanisoma, ngoja niandae mtumbwi kabisa ili yakinisomba basi nisiwe chini, niwe juu. Hujambo?
Sijambo pole na majukumu
Anti yko anakusalimia sana
Turbo hiyo MkuuHii kitu ina nguvu ya Simba kama Safari?
Huku kuna bia zenye majina ya kibabe tuHii kitu ina nguvu ya Simba kama Safari?
Baada ya siku tatu cjui...nashukuru kusikia hujambo. Msalimie sana aunt yangu, ban yake inaisha lini?
Weekend leo huwa wanatekwaMakapuku mko wapi? Tukutane sehemu tugonge cheers
We hujatekwa?Weekend leo huwa wanatekwa
Hahaha, mie nilitaka kukutekaNmejiteka mwenyewe![]()
![]()
![]()
![]()