Makapuku Forum

Huyo atakuwa Al Shabaab tu.
Mdokozi-Mwizi-Jambazi-...........Gaidi (huyu huiba hata uhai wa mtu na hata huweza kujiiba uhai wake mwenyewe)

Mdokozi- hana silaha
Mwizi- silaha yake sana sana ni mbio tuu
Jambaz- silaha ni hata bunduki n.k
Gaidi- silaha hasa ni bom la aina yyte

Huyo jamaa yupo kwenye level ya ugaid , mpaka bomu analo!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…