[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Nimewasilisha Ombi Maalumu Kwa JamiiForums Maxence Melo Moderator Na Farida La Kutaka Kubadili Username Yangu Iwe Iyegu.
Hivyo Yakitokea Mabadiliko Yoyote Msiwe Na Taharuki Wajameni!
Namshukuru Mungu niko vizuri
Basi Sawa Mdada!Namshukuru Mungu niko vizuri
[emoji106][emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Sana sana sanaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jamani mko poa
Tuko Poa Kabisa, Vipi Mrembo!Jamani mko poa
Muulize hayo anayopunguza anaenda kuyaweka wapi au kumpa nani[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sisi Ni Wazima Pia Madame, Karibu Tena Jamvini!Alhamdulillah, Mungu ni mwema, nimeiona jumamos nikiwa mzima kabisa hof kwenu nyie
Asante sana nimekaribiaa, tukanywe chai sasaSisi Ni Wazima Pia Madame, Karibu Tena Jamvini!
Kwa Sisi Walevi Wa Mataputapu Chai Huwa Hatugusi Kabisa!Asante sana nimekaribiaa, tukanywe chai sasa
Aisee hata mi mdundo nimeuelewa kwakweli ila hiyo cm na headphone ankoo tumia mwenyewe acha niskiziage kwenye kitecno changu na earphone za mia3 tuu,...acha tu zina mdundo wa maana lakini...mfano wake ni huu. Hapa uwe na simu kama yangu mpya au headphone za laki nne unusu (ninazo hizi)