Kuna wakati maisha hutufanya tusahu umhimu wa wengine
Tujitahidi kukumbukana
Maisha sio ni kama kivuli huwezi kukikimbia
Siasa ni kama ajira anae panga hatima yako ya kesho ni mwanasiasa
Anae jua ukweli daima ni nafsi yako Na mungu ndio shaidi wa kweli
Usiogope kuulizwa ogopa kukubali wakati unaumia
Usipongeze kwa kukuwa kafanya alie upande wako pongeza kwa kuwa alicho fanya kinasitahili kufanyika hivyo
Timiza wajibu wako na ndio udai haki yako
Ukiwa unaona madhaifu ya mwenzako usikosoe jitahidi kumkumbusha
Jiepushe kuwa adui
Jifunze kusamehe
Elewa kutubu kwako ndio faida yako
Jioni njema