Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Eti eenh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wala sio mbaya mwaya
Eti eenh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wala sio mbaya mwaya
NdiwooEti eenh
Tumsifu Yesu Kristo
Bwana asifiwe
Hamjambo humu ndani
Mkuu mbona amekukaribisha tu, karibu siyo kitisho ni adabu tu[emoji3] [emoji3]Eenh mbona unanitisha mm
Hiyo nisiwe mbali na ww
Rafiki siwezi kukutisha,nikutishe na nini tena Rafiki yangu
Eenh mbona unanitisha mm
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Rafiki mie MTU poa sana,nimependa tu uwe karibu yangu
Mkuu mbona amekukaribisha tu, karibu siyo kitisho ni adabu tu[emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] punguza uogaKukaribishwa rasmi tena
[emoji3] [emoji3] [emoji3]He he yajayo yanafurahisha
Hahaha uoga ndio mpango[emoji3] [emoji3] [emoji3] punguza uoga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hahahaa haswaaa ila mgeni kapenda ukarimu wako