Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Zamani Sio Jana

Mimekaa hapa, nimeshiba tu kama ulikuwa unataka kujua hali yangu, nimekula na sasa ninakunywa huku ninakukumbuka wewe kapuku na bila uchoyo nakukaribisha nawe ule na kunywa kwa hela yako, ndo upendo ulivyo, tunakaribishana na kisha ninakusalimia na kukueleza ni nanmna gani ninafurahia kukuona hapa.

Ni wikend ndo imeanza, kila mtu na style yake, kwa wale tunaofuatilia mwezi basi ndo juma la kuelekea mwisho kabisa tunaenda kulianza na hapa ndo kuanza kujiuliza lile jungu ulilovunja, viapnde ulivitunza au ulivitupa.

Muziki sasa, ni zamani kidogo jana ila sio juzi ikafikia wakati ukaanza kujiuliza mbona naweka nyimbo za kizee. Furahia wikend yako. Tukutane Jumatatu ikimpendeza Yeye aliyetuchana midomo na kutupa pumzi

Binamu asante jamani naipendaga hii nyimbo haiishi hamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom