Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka hakya mama,yani ondoa shaka humo ndo mwangu kiuno kinaenda ka feni

...basi hapo sawa, nilianza kupatwa na mashaka maana mimi band inamtaka mtu kama Rose Muhando, mwepesi kiuno kinanyambulika kama anapoimba wimbo wa Mbella sio kigumu utasema Bahati Bukuku anaimba Dunia Haina Huruma
 
Hahaha! Cheo changu hakina kuingizana majaribuni hahaha lol
 
Binamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kukatika tena hiyo band ya kwaya kanisani hakuna mauno jamani
Jipya lipoo mimi nimechaguliwa kuwa mcheza shoo kwenye band yako
...safi sana, hii band inabidi ifanye vizuri zaidi tuteke soko na watu wote waje. Kama unajua kukatika vizuri utakaa safu ya mbele, ila kama ni mzito fulani hivi kama unatokea milimani inabidi uje nikuelekeze kwa vitendo mpendwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hearly kama namuona
 
...basi hapo sawa, nilianza kupatwa na mashaka maana mimi band inamtaka mtu kama Rose Muhando, mwepesi kiuno kinanyambulika kama anapoimba wimbo wa Mbella sio kigumu utasema Bahati Bukuku anaimba Dunia Haina Huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…