Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Sipendi ujue
Yaanikama nakuona

Uzi wenyewe umefutwa yaan mods wanapenda sana kufuta thread
Nmeona comment yko kwenye uzi wa kumsusia kritka mdomo wngu ukabaki waz kama ndugu ushimen![]()
![]()
![]()
Halafu acha kuzurula![]()
![]()
![]()
poleni
ShunieHalafu acha kuzurula
AbeehShunie
....salam nimepokea mdau, u khali gani nijulie tafwadhariSalaam mkuu Obe
TUOMBE:

Ahsante kwa kunianziashia siku kihabari Habari. Heading nimetosheka Habari kamili nitajiongeza
Ameni barkiwa mke mweeeTUOMBE:
Tunakushukuru Baba Mungu wa Mbinguni kwa kuwa Unatupenda sana umetulinda Usiku kucha na kutuamsha salama leo IJUMAA JUNI 8 2018 Kwa jina la Yesu Umetuzuilia hatari zote za mwili na roho na maumivu yote Tunaomba Roho Mtakatifu kaa nasi siku ya leo Utuongoze.
Wabariki ndugu jamaa marafiki wote Baba walinde wape haja za mioyo yao kadri ya mapenzi yako maana wamekuwa faraja na msaada mkubwa katika mapito mengi. Hatuna cha kumlipa kila mmoja ,mguse Baba.
Baba Tunaomba utusamehe makosa yetu yote tunayotenda kwa mawazo Kwa maneno kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu wetu mbalimbali na Tunawasamehe wote waliotukosea.
Tunakuomba utulinde mchana wa leo tusikose njia zako wala kupatwa na maovu Utupe kukupendeza wewe kwa maneno na matendo Mwenendo uwe mzuri kwani mwili na roho vyote ni mali yako naviweka mikononi mwako. Malaika wako wawe pamoja nasi sote Shetani asitushinde Wabariki wafiwa wajane wagane na wahitaji wote ponya wagonjwa walinde wasafiri wote wa Majini Angani Nchi kavu ponya familia na ndoa na mahusiano yetu na wote wanaotusaidia katika kazi za kila siku wakujue wewe Baba Bariki kazi za mikono yetu na utupatie riziki halali,wabariki watoto wetu makazini na mashuleni katika mitihani yote ya maisha tupe ushindi Mfalme wa Amani tunaomba kwa jina la Yesu Kristo Amen
Damu ya Yesu Itufunike IJUMAA NJEMA SANA YA AMANI NA BARAKA![]()
Mzima weyeAhsante kwa kunianziashia siku kihabari Habari. Heading nimetosheka Habari kamili nitajiongeza
Amina amina aminaTUOMBE: