Makapuku Forum

Ni hivi nikicopy nyimbo yuotube nitake kushare uku nikiandika na maneno inakuja link tupu nisipoandika maneno ndio inakuja nyimbo kama vile unavyopost nimeona hizi siku ulizotekwa nikawa naweka nyimbo


....kama nimekuelewa sawa sawa! Nadhani unaandika maneno kwenye link (maneno yako)

Unapaswa kuandika maneno na kama unatumia keyboard basi bonyeza enter ndo ubandike link.

Kuandika na maneno inawezekana kwenye pictures na gif (inasupport still pic na animated)

Naamini nimekuelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…