omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,206
- 17,686
Hahaha! Huku kwema aisee. Za wapi hapo?Poa afande shedede, za sumbawanga
Hahaha! Huku kwema aisee. Za wapi hapo?Poa afande shedede, za sumbawanga
Huku ni poa kabisa, namsubiri unai tu na usajiri wakeHuku kwema jirani, sijui huko chief!!
Kweli hamna namna nyingine jiraniNikimwambia anirekodie anitumie anadengua, sasa mimi nifanyeje zaidi ya kumchokonoa jirani
Nipo kibaha mkoani, karibuHahaha! Huku kwema aisee. Za wapi hapo?
Nina wasiwasi tutapitia kipindi cha magufuli km walivyopitia ndugu zetu man uHuku ni poa kabisa, namsubiri unai tu na usajiri wake
Dawa ya jeuri ni kiburi tuuKweli hamna namna nyingine jirani
Ahaa mlandizi hivi?, asanteh sanaNipo kibaha mkoani, karibu
Utakoga mikiss mpaka ulazwe milembe..
Itabidi uitoe tu ili afurahi jirani yangu
Vipi hali yako baba tumosa.
Huhuhu!
Woyooooooo napenda makiss mie
Nikimwambia anirekodie anitumie anadengua, sasa mimi nifanyeje zaidi ya kumchokonoa jirani
Umesahau kwamba nilipotendwa na yule mbebez wangu, sikutafuta mwingine?
Ngoja tuone, hata mimi nina wsiwasi naye sana tuNina wasiwasi tutapitia kipindi cha magufuli km walivyopitia ndugu zetu man u
Kibaha, baada tu kiluvyiaAhaa mlandizi hivi?, asanteh sana
Mpatie tu jiraniNitampa jirani yako afurahi
Muda utazungumza.Ngoja tuone, hata mimi nina wsiwasi naye sana tu