Kwani shunie akee namba yangu huna!? We vuka njoo mpaka mjimwema kibaoni, ukifika hapo muulize hata mtoto aliyezaliwa leo atakuonesha home!!
Zaidi zaidi nitakuelekeza hapa hapa mpaka ufike, nikuandalie nini ndugu yangu..!?
Baridi mie nawe hatudhuliani, kwako sijatupa nawekeza, vocha ya 15 elf utapata..Hahhahaha linatosha ungefanya elf 15 nipate gb 2 maka akee
Baridi mie nawe hatudhuliani, kwako sijatupa nawekeza, vocha ya 15 elf utapata..
Mtandao gani huo 15 elfu unaambulia gb 2!?
Ushakula sigara bwege nini shunie akeeHahhahah nimekosea ni gb 10 nimeedit eti niliandika mbili sijui usingizi
Ushakula sigara bwege nini shunie akee
Nimepiga mpaka calculus lakini bado hesabu hizo hazikujaYaan nasoma mara mbili sijaamini gb2
Nimepiga mpaka calculus lakini bado hesabu hizo hazikuja
Hhmm.. Hapana siwezi kukudhania maovu kiasi hicho shunie akee..ukajua unataka kuibiwa nini
Hhmm.. Hapana siwezi kukudhania maovu kiasi hicho shunie akee..
Nilijua unataka kusema gb 20 ila umeisahau 0 tuu
Hhmm.. Hapana siwezi kukudhania maovu kiasi hicho shunie akee..
Nilijua unataka kusema gb 20 ila umeisahau 0 tuu
Ndio nilivyohisi, nikataka kukuuliza kampuni gani hii nihamie.eti gb 20
Hee!! We nae kigeugeu, si umesema unakuja kuchukua.Maka akee ufanye basi unitumie jamani
Ndio nilivyohisi, nikataka kukuuliza kampuni gani hii nihamie.
Yamekuwa hayo tena ya kuja ebu nitumie banaHee!! We nae kigeugeu, si umesema unakuja kuchukua.
Aahh!! Sawa.mm natumia tigo bana na hiyo ndio bei yao kwa week
Schwain wee!! Mie sijui jinsi ya kutuma.Yamekuwa hayo tena ya kuja ebu nitumie bana
Schwain wee!! Mie sijui jinsi ya kutuma.
Km we huijui njia ya kwetu na mie sijui code ya tigo pesaHujui vipi tena jamani unapunguza kwenye tigo pesa