...nilitaka tu kujua namna ya kumtag mtu, ili siku nyingine nikiandika kitu hata wewe nakutag, si unajua mimi ninavyopendaga usome mambo mazurimazuri
Hivi magazeti ulisoma leo niliweka
Useme wewe ndio umemwambia mm dada akee shahidi tumosa
Akinikubali nitakufundisha...unajua namna ya kumtag mtu unifundishe?
Sawa.... Yeye nae kaenda unyagoni?Usicheze na jando mzeewakungoa
Muhenga atashindwaje kupitia unyagoniSawa.... Yeye nae kaenda unyagoni?
...no, sikusoma aunt yangu. Sijayaona kabisa, niambie kama unakumbuka ni page ya ngapi niyafuate maana siku ya leo inataka kupita kavu na haijaisha
Wacha unoko nawe Obe.... aunty yako nae ana roho!!!!...sijamuona anko wangu, ndo nataka kumtag, utanifundisha aunt yangu akijibu
...mmh, hivi kweli Tumosa mimi nikiwa na kesi anaweza kunisemea jambo zuri kweli? Unajua kabisa hata kama sijasema atasema nimesema.
Hivi ni mimi ndo nilisema umemuita kaka au ni wewe wakati jamaa anakuzoza ukamkana anko wangu? Au nilikuwa nasoma vibaya
Mnoko mwingineSawasawa binamu akijibu nishtue
Apande wapiJamani mbona sikumbuki page ebu panda juu uko utayaona binamu yangu
Yule mwingine c kaingia mitiniKhaaaaa mbebez ninae mie wawili nawagawa vipi
Yule mwingine c kaingia mitini
Apande huko juu jamaniApande wapi
HahahaaaaaApande huko juu jamani
Yaani mimi nikitolewa nje unaona rahaaaaa......... Yaani mjukuu wangu akinikataa mazima nalala bavu na wewe..Woyoooo
Hahahaaaaa