Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
MmmhWacha aje atuambie sijui alienda wapi ,kapotea ghafla
Mngh!
Si nitakufwa jamani bila kukuiga
AbeeWe dada akee shunie ukuje huku
HahhahaaaaaHahaha kaogopa ungeropoka
MmmhWenye makapuku yetu woyooooooooo
Mwambaaje, mwabesa besa au mwabesekewa
![]()
![]()
![]()
swaum ghadi
Hata maji sijaonaaSoda amekununulia mpendwa wako
JamaniHahahahaaaaa
Huwa ukiitika hivi hadi nashtuka as if nakuona live vile
Si tutamuogopa na manguvu jaman
Nilienda meza dawa akiUlipotea ghafla aki
Vizuri kidogoUnaendeleaje
Ulikuwa wapi jamaniAbee
EwaaaaaMgonjwa apewe soda jamani