Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Si hiyo fanta jamani anayokwambia umpe mpendwa wako
Ampe nini jaman?
Ampe nini jaman?
Anakunywaga dragon yule[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ugomvi wa nn tena mjukuu wangu?
Ugomvi wenu wala hatuuingilii sisiNishamfafanulia aseme lingine halafu mwambie asitake kuniuzi huyo babu
Toooooba!!
Kasimama kote!![emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe si mnaa huwezagi kuvumilia kaona akimpa sakayo na mbalizi wataropoka kakuona mstaarabu mwenyewe
Ubaguzi huu jamani mama wawili!Aanze mpendwa wake kwanza
Ugomvi wenu wala hatuuingilii sisi
Eeeeh ndiwooooHahahahaaaaaa
Umenikumbusha mbaaaliii
Fanta orange sio
NakaziaAcha uchoyo wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe na mm walewale
Wanaonana wawili hao[emoji23] [emoji23]Basi analike post zako tu kwahiyo mnaonana wawili
Ewaaaaa hyo hyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akitoka hapo anatamani alie anashindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Super kungfu
Nimegeuka eti[emoji23] [emoji23]Huamini angalia post zngu nyuma huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cie wapenz watazamajiUgomvi wenu wala hatuuingilii sisi
SawasawaYeah
My one and only
Si ndio hapo sasa!Nacheka sana umetoa siri mwenzio labda alikuwa kwenye patrol
Tutachanga tumnunulia cjui kungfu cjui nnUbaguzi huu jamani mama wawili!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] teeeena![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shaurilo
Ushakuwa mmbea na wwNimegeuka eti[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia