Hata mimi niliiona ile comment.Ikabidi nchungulie profile yake nijue ni wa lini kumbe kaweka '...view limitation'.Safi Brian za wewe kuna sehemu nilikukuta jukwaa la malalamiko kumbe we ni wa zamani jamani I'd yako ya zamani ilikuwa inaitwaje nilikukuta unamzungumzia malaria sugu
Mkuu,habari za masiku.Habari wadau
Sawa rafiki kuna tumosa, abj na moneytalkTender ya kunionyesha wawili watatu wenye chura ili mimi nijichagulie hapo mmoja kwa rahaa zangu!
Anataka kuchagua chura kama yupo bwawaniAsante mshikaji wangu, naona Mzee wa chura, anakodoa tu
Na kwanza hizi mvua, vyura watakuwa wengi sanaAnataka kuchagua chura kama yupo bwawani
Hata mimi niliiona ile comment.Ikabidi nchungulie profile yake nijue ni wa lini kumbe kaweka '...view limitation'.
Unajua hata mimi nilianza kutumia JF kama guest tangu 2012 nikawa mwanachama 2016.
Sana ajichagulie tuNa kwanza hizi mvua, vyura watakuwa wengi sana
Moneytalk hapana alishawahiwa!!Sawa rafiki kuna tumosa, abj na moneytalk
Kazi kwakeSana ajichagulie tu
Kabisa yaan.Aiseee kumbe lakini ni kweli hata mm pia nakumbuka nafatilia jf kama guest ilichukua miaka miwili hivi au mitatu
Basi hao wengine kazi kwako halafu kuna mzigua90 na raynaveroMoneytalk hapana alishawahiwa!!
Kabisa yaan.
Ila pia wengne ni MULTI-IDs
Rafiki huwa unawakagua??.....naona unawajua vizuri sana!!Basi hao wengine kazi kwako halafu kuna mzigua90 na raynavero
Rafiki huwa unawakagua??.....naona unawajua vizuri sana!!
Yap,mtu IDs kama zoteMult ids hizo mambo zipo
Una bahati sana umenitaja! Nilikuwa nisuse kukuja huku
Mshikaji wangu ngoja, nipumzishe mwili,
Usiku mwema
Yap,mtu IDs kama zote