Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Ndo ipi me nna mafaili mengi kichwan wooiNimemaliza ya Patricia
Ndo ipi me nna mafaili mengi kichwan wooiNimemaliza ya Patricia
Bado ile nyingine kwani ile ya Serena nayo ina muendelezo yaan ungejua ungenitumia za Patricia kwanza nikimaliza ndio nianze nyingine zipo ndefu page 500 bora zingekuwa 300
I died to save presidentNdo ipi me nna mafaili mengi kichwan wooi
Bado ile nyingine kwani ile ya Serena nayo ina muendelezo yaan ungejua ungenitumia za Patricia kwanza nikimaliza ndio nianze nyingine zipo ndefu page 500 bora zingekuwa 300
Iko na episode ngapi nayo khaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ipo mpaka mwisho hyo serena
Jamani tuna saumu wengine![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nakojoa
Si usubiri usiku... Babu yako yuko na saumu saa hiziMkojo upii huo unakojoa eti
Hainz episode ile pale ipo mwanzo mwishoIko na episode ngapi nayo khaaa
Kwani nimekosea nn jamani babu yake shunie shikamoo kwanza babuSi usubiri usiku... Babu yako yuko na saumu saa hizi
Oooh hapo sawa ngoja nikiimalizia tutaendelea na ya patriciaHainz episode ile pale ipo mwanzo mwisho
Marhabaa mjukuu wangu..... Hizo aina za kukojoa!!!??Kwani nimekosea nn jamani babu yake shunie shikamoo kwanza babu

Ndio mana nikauliza ni mkojo aina ganiMarhabaa mjukuu wangu..... Hizo aina za kukojoa!!!??![]()
Hmm.... Ngoja niahirishe maelezo... Nisije nikafuturu kabla ya wakati.Ndio mana nikauliza ni mkojo aina gani
Akijibu unitag mjukuu wangu... Lkn baada ya kufuturuNdio mana nikauliza ni mkojo aina gani
Hmm.... Ngoja niahirishe maelezo... Nisije nikafuturu kabla ya wakati.
Ukiona hivyo usiingie mpaka ufturu kama unashindwa kuvumiliaAkijibu unitag mjukuu wangu... Lkn baada ya kufuturu
Poa mke mweeeOooh hapo sawa ngoja nikiimalizia tutaendelea na ya patricia
Ha ha ha ha ha.... Inategemea yule anayeongeaUkiona hivyo usiingie mpaka ufturu kama unashindwa kuvumilia
Inategemea nini sasaHa ha ha ha ha.... Inategemea yule anayeongea
Yaani athari ya maneno Inategemea na uhisiano ulinao na yule aliyeyaongeaInategemea nini sasa
Mwenye kichekoo chakeeeee