Umeona eeenh ndio mambo nisizozitaka![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dogo atashangaa hela haingii kaz kupigiwa tu
Lala unonoUcku mwema wapendwa mie nalala
Asante mke mweeeLala unono
Damu ya Yesu ikulinde usiku woteAsante mke mweee
Hio Victor ni Tafsiri ya jina langu.. Sio Jina lenyeweSasa unaitwa Victor mbona mwarabu wewe na unafunga
We mtoto unaendelea kuguna... Unaniumiza unajua!!!?
Kwani vp tena?![]()
![]()
![]()
![]()
Ni ww babu kweli au account yko imehakiwa
Ata sijui jamani!!!?Kwani amekaa uchi
Obe tunataniana siku hizi...labda mwarabu koko?
NB: Mwarabukoko haihusiani na mbwa koko



Umechanganya ukweli na uwongo...hapo ndo ushangae sasa, babu anataka kumpatia simu mma kabisa, atoe kwenye boksi. Anachotaka babu hata hakizidi dakika tano. Shida nyingine za kujitakia, angekuwa kakubali saa hizi angekuwa anatamba na Samsung 9+





Si tunamsubiri Sakayo!!!?Atoe sasa
Au umebadili mawazo Utachukuwa mwenyeweAtoe sasa
Jamani c mpaka liwe chaguo la babu!?!?..... Sio kwamba babu anapokea akipewa... Babu is very selective!!!Mfyuuuuuu kama rahisi katoe ww
Toa namba ya tigopesaBwana weeh kwani mahela yapo
Huu ndo unaa wa msimuLyon lee shikamooo
Sasa kwa nn utoe namba ya dogo badala ya kwako mwenyewe Jamani... Yaani hata homeboy unataka kumfanyia sanaa!!!!Umeona eeenh ndio mambo nisizozitaka