Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
OoohMuda huo nilikuw naenda stand kumpeleka bi mkubwa anasafiri
Sawa kaka akee
OoohMuda huo nilikuw naenda stand kumpeleka bi mkubwa anasafiri
Niko mzima sana hofu kwako tuSijambo mjukuu wangu.... Umzima wewe?
Kwakweli ukufwe tuukunda umkome babu ako?
Nkunda unghambie kishambaa ... Ambu kiswahili sikiteia!!Kwakweli ukufwe tu
MmhNkunda unghambie kishambaa ... Ambu kiswahili sikiteia!!
Cjambo nmekumiss babuMarhabaa mjukuu mwee.... Jambo wewe?
Khaaaaa huo mtamu ngeufe du ni swala ambalo kwangu halitawezekana
mnisaidie maana ya mtamu na kukunda jamani
Pambana tu na hali yako mxxieew![]()
![]()
mnisaidie maana ya mtamu na kukunda jamani
Tulikumiss pia kuna mtu alikuwa anakuulizia kwenye michirizi hukoHabari wapendwa nmewamiss sana,mashikoro ya jana yalinifanya nisionane nanyi
Nani mke mweeeTulikumiss pia kuna mtu alikuwa anakuulizia kwenye michirizi huko
Bibi weeeh utakutana nae hukohuko ukienda tusichoshane na maswali plsNani mke mweee
Hukunda hata kuniughusha mjukuu wangu!!!!?
Kwahiyo ushamlenga mbebez wa kumpata
Nikuughushe mara nyingaiHukunda hata kuniughusha mjukuu wangu!!!!?
Eka du.... Ne nkughambieNikuughushe mara nyingai