Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Ni kweli mkuu kuna wakati nilipata nafasi ya kuwepo tanga nikaenda moshi niligundua sehemu zinazo kosa watu wanao Fanya kazi kwa bidii huwa nyuma kimaendeleo na kihuduma piawallahi NI kweli "" acha tupambane maana heshima na utu wa mtu " vina tegemea haswaa uwajibikaji wake
Kaka akee habari ya weweNi kweli mkuu kuna wakati nilipata nafasi ya kuwepo tanga nikaenda moshi niligundua sehemu zinazo kosa watu wanao Fanya kazi kwa bidii huwa nyuma kimaendeleo na kihuduma pia
Njema dadake habari za huko uliko ?Kaka akee habari ya wewe
hahaaa huo ugonjwa mkuu"" wanaugua watu wengi mnoo wa taifa hili " shida kubwa ni ukosefu wa kutojitambua..na kukosekana kwa hamasa ya mafanikio ...Ni kweli mkuu kuna wakati nilipata nafasi ya kuwepo tanga nikaenda moshi niligundua sehemu zinazo kosa watu wanao Fanya kazi kwa bidii huwa nyuma kimaendeleo na kihuduma pia
Safi sana nafurahi kukuonaNjema dadake habari za huko uliko ?
Asante leo kuna kitu kimenitokea toka asubuhi sijakielewa kila nikitaka kuingia naona inagoma inataka niingie kwa browser nikiingia kwa browser bado inazingua nikajikuta najicheka tuSafi sana nafurahi kukuona
Sio wewe ni wote tu unatakiwa uingie kwa browser ukubaliane na sheria za jf halafu unarudi kwa appAsante leo kuna kitu kimenitokea toka asubuhi sijakielewa kila nikitaka kuingia naona inagoma inataka niingie kwa browser nikiingia kwa browser bado inazingua nikajikuta najicheka tu
Nilivyo fungua data mchana ndio nikafutilia kujua nini tatizo
Nzuri kabisaaaMi mzima sakayo habar ya ujenzi wa Tanzania yetu
Wachinahahaaa huo ugonjwa mkuu"" wanaugua watu wengi mnoo wa taifa hili " shida kubwa ni ukosefu wa kutojitambua..na kukosekana kwa hamasa ya mafanikio ...
mtu amemeza maisha ya kukarili katika kichwa chake "" kwamba ukishakuwa mtu mzima kama utakosa elimu " basii kinachofuata nikuwa na shughuli ya kuweza kupata ugali tu " kisha kuoa ..kuzaa Watoto wa sio na idadi na kusubiri umauti....kuna sehemu moja hivi niliwahi kwenda nikakuta asilimia 95 ya wana kijiji wa hicho kitongoji ni walevi wa kutupwa ...basiii wachina wanakwenda pale wanawanunulia pombe wazazi " kisha wanaondoka na mabinti wao ""
Nilikataka tamaa mapema nikasema ikikaa mpaka kesho naifuta nitakuja kuingia wiki ijayoSio wewe ni wote tu unatakiwa uingie kwa browser ukubaliane na sheria za jf halafu unarudi kwa app
hahaaa ..mkuu hatari "" sana kama unaishi katika hii mikoa iliyojitahidi kukaza msuli wa kutafuta maendeleo " huwezi kuelewa kabisa aisee haya mambo""...wachina mkuu"" wana tembeza dose huko kama hawana akili nzuri"" I bet baada ya miaka mi tano kile kijiji kitakuwa kimetapakaa watoto wenye damu ya kichina ""Wachina
Kuna baadhi ya sehemu ndani ya Tanzania unaweza kuhisi sio Tanzania kuna mkoa mwaka Jana nilikuwa huko nilicho kiona acha watanzania waendelee kuwa masikini kutokana na uwezo wao kufikiri
Woyoooooo mpendwa wake mtuNzuri kabisaaa
Pole sanaNilikataka tamaa mapema nikasema ikikaa mpaka kesho naifuta nitakuja kuingia wiki ijayo
ha hahaa mwanzo nilidhani wame nipiga ban "" baada ya kusoma ujumbe ndio akili ikazibuka...yaani kama ingekuwa ni ban " nilijiandaa kuja na fake id nakutoa kichambo kwa mods wote mpaka "" ma house girl wao ""Sio wewe ni wote tu unatakiwa uingie kwa browser ukubaliane na sheria za jf halafu unarudi kwa app
Asante dada maana nina kazi zinanisumbua nakuja nipunguze mawazo kwa kujadiliana na ndugu zangu humuPole sana
Hata mi nilijua ni ban ila nikaingia bila kulog in nikakuta hapana ndio nikarudi kufuatilia na kujua nini kinahitajikaha hahaa mwanzo nilidhani wame nipiga ban "" baada ya kusoma ujumbe ndio akili ikazibuka...yaani kama ingekuwa ni ban " nilijiandaa kuja na fake id nakutoa kichambo kwa mods wote mpaka "" ma house girl wao ""
ha hahaa mwanzo nilidhani wame nipiga ban "" baada ya kusoma ujumbe ndio akili ikazibuka...yaani kama ingekuwa ni ban " nilijiandaa kuja na fake id nakutoa kichambo kwa mods wote mpaka "" ma house girl wao ""
Safi kaka habari ya weweAsante dada maana nina kazi zinanisumbua nakuja nipunguze mawazo kwa kujadiliana na ndugu zangu humu
Habar ya jion lakini dadake
hahaaa.. Invisible akiwa na stress za marejesho ya Mkopo "" hakawii kubonyeza kitufe cha ban "" ana kukabizi mwenge ukimbie nao tu "" roho yake inakuwa baridiiiiHata mi nilijua ni ban ila nikaingia bila kulog in nikakuta hapana ndio nikarudi kufuatilia na kujua nini kinahitajika