Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Mimi sijawahi kukwama pembejeo hata siku mojaha hahaaa...aisee"" shemeji nitajie namba yko nikutumie muamala"" nasikia umekwama mazao yamekosa pembejeo ""
Nasiki sikia watu wakiisema eti ni aina ya soda, ila yenyewe ni tamu kama asali, eti ukitaka kuila uifaidi vyema, uile mkiwa wawiliFafanua kidogo hilo neno
Hutaki vipiii na wameshakubaliana acha mambo za mwaka 47Sawa ila huyu sitaki awe shemeji yangu maana anaonekana akili yake bado ya kitoto sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yule sio mke wako wala huna hadhi ya kumiliki mtoto mrembo kama huyo
Hasa huyu dada yangu wewe ukihitaji sana unaweza kuwa mpenzi mtazamaji tu
Karibu tuendee na yaliyomo humuSalama mkuu
Kwanini best mkuuMdomo wangu umebaki wazi kama wa ushimen
Hata huku zpo mkuuNyapu zipo humu[emoji16]
Asante [emoji144]Karibu tuendee na yaliyomo humu
Nzuri mamy za kwakoHabari zenu wana familia?
Afadhali umeshuhudia kakaHuyu dadangu simwelewi kwa sasa japo kajitetea bila kujua juzi nimeshinda hapa nilijua kinacho endelea
Mungu mwema niko salama [emoji144]Nzuri mamy za kwako
Mkuu kukusaidia tu kaweke bandiko lako entertainmentNaombeni msaada wenu wakuu.
Natafuta sana movie za Kihindi za zamani (1940-2000) zenye good quality na subtitles za Kiingereza.
Nimejaribu kuzitafuta naona nakwama. Uungwana na kuomba msaada kwa wanaojua/fahamu wapi naweza zipata.
Huku mitandaoni hakuna good quality sana (Youtube zimejaa lakini hazina Subtitles)
Msaada mwenye kujua anijuze nawapata wapi wadosi wangu wa kitambo kina Amitabh Bachchan, Dharmendra, Sunny Deol na wengineo watabe orijinali.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mdomo wangu umebaki wazi kama wa ushimen
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]aiseeeee...shemeji " shikamoo""
Unaenda wap kaka ake[emoji125] [emoji125] [emoji125]
We unawaza nyapu tu kuingia na kuingiaKwanini best mkuu
I wish ipatikane moja matatasana, maana nasikia huu msiso ni zaidi ya asali kwa utamu,Hata huku zpo mkuu
Anadanganya huyu niatamshughulikia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hackers cio watu wazuri
Karibu, nimekatibishwa , sasa napiga honi piiiiiiiiiiiiiiiiHabari zenu wana familia?
kwakweli hackers "" sitaki hata kuwasikia...tchaaaaa...sio kwa kunigombaisha huku na shemeji yangu""[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hackers cio watu wazuri